1 NMM Paulo mtume, si mtume wa wanadamu wala aliyetumwa na mwanadamu, bali na Isa Al-Masihi na Mungu Baba Mwenyezi aliyemfufua Isa kutoka kwa wafu, BSB BSB: Paul, an apostle—sent not from men nor by man, but by Jesus Christ and God the Father, who raised Him from the dead—
2 NMM na ndugu wote walio pamoja nami. BSB BSB: and all the brothers with me, To the churches of Galatia:
3 NMM Neema na amani zitokazo kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi, BSB BSB: Grace and peace to you from God our Father and the Lord Jesus Christ,
4 NMM yeye aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu wa sasa ulio mbaya, sawasawa na mapenzi yake yeye aliye Mungu na Baba yetu. BSB BSB: who gave Himself for our sins to rescue us from the present evil age, according to the will of our God and Father,
5 NMM Utukufu una yeye milele na milele. Amen. BSB BSB: to whom be glory forever and ever. Amen.
7 NMM ambayo kwa kweli si Injili kamwe, ila kwa dhahiri kuna watu wanaowachanganya na wanaotaka kuipotosha Injili ya Al-Masihi. BSB BSB: which is not even a gospel. Evidently some people are troubling you and trying to distort the gospel of Christ.
9 NMM Kama vile tulivyokwisha kusema kabla, sasa nasema tena, ikiwa mtu yeyote atawahubiria Injili kinyume na ile mliyoipokea na alaaniwe milele! BSB BSB: As we have said before, so now I say again: If anyone is preaching to you a gospel contrary to the one you received, let him be under a curse!
10 NMM Je, sasa mimi ninatafuta kukubaliwa na wanadamu au kukubaliwa na Mungu? Au nataka kuwapendeza wanadamu? Kama ningekuwa bado najaribu kuwapendeza wanadamu, nisingekuwa mtumishi wa Al-Masihi. BSB BSB: Am I now seeking the approval of men, or of God? Or am I striving to please men? If I were still trying to please men, I would not be a servant of Christ.
11 NMM Ndugu zangu, nataka mjue kwamba Injili niliyowahubiria haikutokana na wanadamu. BSB BSB: For I want you to know, brothers, that the gospel I preached was not devised by man.
12 NMM Kwa maana mimi sikuipokea hiyo Injili kutoka kwa mwanadamu, wala sikufundishwa na mtu, bali niliipata kwa ufunuo kutoka kwa Isa Al-Masihi. BSB BSB: I did not receive it from any man, nor was I taught it; rather, I received it by revelation from Jesus Christ.
14 NMM Nami niliendelea sana katika dini ya Kiyahudi kuliko Wayahudi wengi wa rika langu, maana nilijitahidi sana katika desturi za baba zangu. BSB BSB: I was advancing in Judaism beyond many of my contemporaries and was extremely zealous for the traditions of my fathers.
15 NMM Lakini ilipompendeza Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu na kuniita kwa neema yake, BSB BSB: But when God, who set me apart from my mother’s womb and called me by His grace, was pleased
16 NMM alimdhihirisha Mwanawe kwangu, ili nipate kumhubiri miongoni mwa watu wa Mataifa. Mimi sikushauriana na mwanadamu yeyote, BSB BSB: to reveal His Son in me so that I might preach Him among the Gentiles, I did not rush to consult with flesh and blood,
17 NMM wala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilienda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski. BSB BSB: nor did I go up to Jerusalem to the apostles who came before me, but I went into Arabia and later returned to Damascus.
20 NMM Nawahakikishia mbele za Mungu kuwa ninayowaandikia si uongo. BSB BSB: I assure you before God that what I am writing to you is no lie.
21 NMM Baadaye nilienda sehemu za Siria na Kilikia. BSB BSB: Later I went to the regions of Syria and Cilicia.
22 NMM Lakini mimi binafsi sikujulikana kwa makundi ya waumini huko Yudea yaliyo katika Al-Masihi. BSB BSB: I was personally unknown, however, to the churches of Judea that are in Christ.
23 NMM Wao walisikia habari tu kwamba, “Mtu yule ambaye hapo awali alikuwa akitutesa sasa anahubiri imani ile ile aliyokuwa akijaribu kuiangamiza.” BSB BSB: They only heard the account: “The man who formerly persecuted us is now preaching the faith he once tried to destroy.”
24 NMM Nao wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu. BSB BSB: And they glorified God because of me.
Select verses for actions: Enter goes to them and Escape comes back.