1 SWHULB Mimi ni Paulo mtume. Mimi sio mtume kutoka kwa wanadamu wala kupitia kwa mwanadamu, lakini kupitia kwa Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua kutoka kwa wafu. BSB BSB: Paul, an apostle—sent not from men nor by man, but by Jesus Christ and God the Father, who raised Him from the dead—
2 SWHULB Pamoja na ndugu wote na mimi, ninayaandikia makanisa ya Galatia. BSB BSB: and all the brothers with me, To the churches of Galatia:
3 SWHULB Neema iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo, BSB BSB: Grace and peace to you from God our Father and the Lord Jesus Christ,
4 SWHULB aliyejitoa mwenyewe kwa ajili ya dhambi zetu ili kwamba atukomboe na nyakati hizi za uovu, kutokana na mapenzi ya Mungu wetu na Baba. BSB BSB: who gave Himself for our sins to rescue us from the present evil age, according to the will of our God and Father,
5 SWHULB Kwake uwe utukufu milele na milele. BSB BSB: to whom be glory forever and ever. Amen.
7 SWHULB Hakuna injili nyingine, lakini kuna baadhi ya watu wanao wasababishieni nyinyi matatizo na kutaka kubadilisha injili ya Kristo. BSB BSB: which is not even a gospel. Evidently some people are troubling you and trying to distort the gospel of Christ.
9 SWHULB Kama tulivyo sema mwanzoni, na sasa nasema tena, “Kama kuna mtu atawatangazia kwenu injili tofauti na mliyoipokea, na alaaniwe.” BSB BSB: As we have said before, so now I say again: If anyone is preaching to you a gospel contrary to the one you received, let him be under a curse!
10 SWHULB Kwani sasa hivi ninatafuta uthibitisho wa watu au Mungu? Ninatafuta kuwafurahisha wanadamu? Kama ninaendelea kujaribu kuwafurahisha wanadamu, mimi sio mtumishi wa Kristo. BSB BSB: Am I now seeking the approval of men, or of God? Or am I striving to please men? If I were still trying to please men, I would not be a servant of Christ.
11 SWHULB Ndugu, ninataka ninyi mjue kwamba injili niliyoitangaza haitokani na wanadamu. BSB BSB: For I want you to know, brothers, that the gospel I preached was not devised by man.
12 SWHULB Sikuipokea kutoka kwa mtu, wala sikufundishwa. Badala yake, ilikuwa ni kwa ufunuo wa Yesu Kristo kwangu. BSB BSB: I did not receive it from any man, nor was I taught it; rather, I received it by revelation from Jesus Christ.
14 SWHULB Nilikuwa nimeendelea katika Dini ya Kiyahudi zaidi ya ndugu zangu wengi Wayahudi. Nilikuwa na bidii sana katika tamaduni za baba zangu. BSB BSB: I was advancing in Judaism beyond many of my contemporaries and was extremely zealous for the traditions of my fathers.
15 SWHULB Lakini Mungu alipendezwa kunichagua mimi kutoka tumboni mwa mama. Aliniita mimi kupitia neema yake BSB BSB: But when God, who set me apart from my mother’s womb and called me by His grace, was pleased
16 SWHULB kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu, ili kwamba nimtangaze yeye miongoni mwa watu wa mataifa. Wala sikutafuta ushauri wa mwili na damu BSB BSB: to reveal His Son in me so that I might preach Him among the Gentiles, I did not rush to consult with flesh and blood,
17 SWHULB na sikupanda kwenda Yerusalem kwa wale waliokuwa mitume kabla yangu. Badala yake nilienda Uarabuni na baadae kurudi Damesiki. BSB BSB: nor did I go up to Jerusalem to the apostles who came before me, but I went into Arabia and later returned to Damascus.
20 SWHULB Tazama, mbele za Mungu, sidanganyi kwa kile niandikacho kwenu. BSB BSB: I assure you before God that what I am writing to you is no lie.
21 SWHULB Kisha nilikwenda mikoa ya Shamu na Kilikia. BSB BSB: Later I went to the regions of Syria and Cilicia.
22 SWHULB Sikuwa najulikana kwa macho kwa makanisa ya Uyahudi yale yaliyokuwa katika Kristo, BSB BSB: I was personally unknown, however, to the churches of Judea that are in Christ.
23 SWHULB lakini walikuwa wakisikia tu, “Yeye aliyekuwa akitutesa sasa anatangaza imani aliyokuwa akiiharibu.” BSB BSB: They only heard the account: “The man who formerly persecuted us is now preaching the faith he once tried to destroy.”
24 SWHULB Walikuwa wakimtukuza Mungu kwa ajili yangu. BSB BSB: And they glorified God because of me.
Select verses for actions: Enter goes to them and Escape comes back.